1 Corinthians 7:10-11

10 aKwa wale waliooana nawapa amri (si mimi ila ni Bwana): Mke asitengane na mumewe. 11 bLakini akitengana, ni lazima akae bila kuolewa, ama sivyo apatane tena na mumewe. Wala mume asimpe mkewe talaka.

Copyright information for SwhNEN